Jinsi Ninavyopata wateja wa kazi za freelancing.
Hizi njia ukiweza kuzitumia zitakupa matokeo ndaninya miezi mitatu.
Pia unaweza kuzitumia kwenye biashara yoyote
Kwanza kabisa wateja wa uhakika wapo LinkedIn,
LinkedIn mteja anakufata mwenyewe inbox kama ni interview anakupangia tarehe...
Kumekua na sintofahamu huko duniani inayoonekana vijana wengi wasomi wakisota mitaani kwa ugumu wa maisha kuliko vijana ambao hawajaenda shule au ambao siyo wasomi wa kiwango cha juu .
Wapo vijana waliowacheka wenzao kwa kufeli shule huku wao wakifurahia kufaulu na kuendelea na masomo na baada...
Huko Tanganyika kila mtu ni machinga, hata wasio na ujuzi wa kibiashara nao unawakuta wanachuuza malapa mitandaoni.
Tangu Watanganyika waambiwe kujiari basi imekuwa fujo mno, mara huyu anauza ubuyu, mara huyu anauza tumikoba twa kike!
Mitandao imechafuka biashara uchwara za kuchuuza malapa na...
Acha kulanguliwa Mashine za kupukuchua mahindi kama unavyoiona kwenye video inapatikana kwa bei nafuu zaidi
Piga no 0716 508073
Tupo Arusha Unga Ltd mtaa wa viwanda
Bei niTsh850,000/=
Inapukuchua na kupepeta gunia 25-30 kwa saa
Kwa siku inapukuchua na kupepeta gunia 300
Ina feni la kupepeta...
Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi.
Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa mbali.
Nawasilisha.
Habari za jioni from Moshi town
UWEPO
MWENYE ENZI MUNGU akaiumba DUNIA. Hakika katika Dunia MWENYE ENZI MUNGU akawaweka VIUMBE wengi sana na akampa mamlaka makubwa ya UFAHAMU kiumbe Mmoja tu BINADAMU.
Binadamu wamepita wengi sana huko nyuma na leo hii UPO WEWE na ndo maana hukuwepo mwaka 500 upo SASA hivi 2023.
Sasa...
Bwana Yesu Asifiwe!
Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!!
Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu.
Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee.
Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha.
Si chini ya sh milioni...
MUHIMU SOMA🌴🌴🌴🌴🌴
HELLO HABARI YA MUDA HUU BOSS WANGU,
JE UMETUMIA KILA MBINU LAKINI HUPATI WATEJA WA KUTOSHA KATIKA BIASHARA YAKO?
Basi leo malaika wa Mungu huenda amenileta hapa kwaajili yako,
SOMO LA BUSINESS CARD KATIKA KUPATA WATEJA WENGI SANA HAIJALISHI BIASHARA KUBWA AU NDOGO
Kwa muda...
SWALI LA KWANZA
UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.??
Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ???
Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi
Kuna watu...
Nahitaji msaada wa vifaa na gharama zinazohitajika ili kuanzisha sehemu ya kuzalisha mikate
Naombeni msaada wenu Wana forum
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuwa specific and short, but clear:
Nimeona threads nyingi JF wadau wengi sana haswa waliomaliza chuo kikuu, wakitumia mda mwingi kuomba connection za kazi lakini hakuna mafanikio hata kwa zaidi ya miaka. Huku wengine kuhisi wana mikosi au hawana bahati na kutoboa.
Basi, leo nitatoa somo...
Wakuu habari zenu,
Katika muendelezo wa kampeni za uchaguzi huu limejitokeza hili suala la vitambulisho vya ujasiriamali,nami nikasema si vibaya nikilileta hapa jukwaani tuweze kujiuliza yafuatayo:-
- Kama kusingekuwa na hivi vitambulisho je hawa wajasiriamali wangelipa tozo za biashara kiasi...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII
Habari ndugu zangi ,
Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki...
Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Wakuu salama,
Mimi si mtaalam sana ni maswala ya habari na vyombo vingi vya habari natambua ni huru inapokuja kwenye maswala ya nini kirushe au kiandike (kama tu hakivunji sheria) kipo huru ila inapokuja maswala ya ujasiliamali kuna kuwa na upotoshaji mkubwa sana hasa wale inspirational...
Jipatie double ottoman kama hizi katika staili mbalimbali kwa matumizi yako ya kukalia kama vile chumbani,saluni, dressing room na kwa wale wasanii wanaochora kucha za wakina dada kuna base nzuri za kuwekea miguu ya wateja wenu na viti vyake.
Leta oda yako tukutengenezee design yoyote...
Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo.
Aidha, tunashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.