Chondechonde viongozi wa Tanzania wakati ndio huu. Wakati nchi nyingi hapa Africa zinastruggle kutafuta kujulikana kisoka hapa nyumbani MWenyezi Mungu ametubariki kwa namna nyingine na ya kipekee, kuna mambo machache ambayo serikali yetu ikiwa makini nchi itafika mbali hata kama hatuna vipaji...