ujasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Nauza kitabu Cha UJASUSI yanayoendelea kuhusu COVID 19

    Hello guys, Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19 Pata dondoo kidogo hapo SEHEMU YA KWANZA Taharuki kubwa ilitanda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere...
  2. U

    Waziri Mkuu Naftali Bennett akutana na Kachero Mkuu Idara Kuu ya Ujasusi ya Israel na kumuongezea muda wa kukaa Madarakani

    Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett leo Juni 15, 2021 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Ujasusi nchini Israel Security Agency (ISA) Nadav Argaman. Waziri Mkuu ameamua kuwa Mkurugenzi huyo wa ISA ataendelea kusalia kwenye nafasi aliyonayo hadi Oktoba 2021.
  3. Ni kwanini waliosomea Ujasusi ( Unjagu ) nchini Israeli 'wanaogopeka' sana kuliko waliosomea nchi zingine?

    Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka. Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka'...
  4. Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya

    TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…