ujenzi barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Kamati ya miundombinu yaitaka Serikali kumsimamia mkandarasi ujenzi barabara ya Tanga-Pangani ili ikamilike wakati

    Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya Afrika Mashariki, kipande cha kilomita 34 kilichosalia cha Tanga-Pangani, ambacho kwa mujibu wa...
  2. The Watchman

    Arusha: serikali yafanya uboreshaji barabara ya Namanga – Sinonik – Mairouwa

    Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kufungua fursa za kiuchumi kwa kuboresha miundombinu na kuondoa vikwazo kupitia mradi wa RISE sehemu ya uondoaji vikwazo katika barabara wilayani Longido mkoani Arusha. Meneja wa TARURA wilaya ya Longido, Mhandisi Lawrence Msemo...
  3. The Watchman

    Pre GE2025 Ummy Mwalimu: Bilioni kutumika kukamilsha ujenzi barabara Tanga - Pangani

    Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa barabara ya Tanga–Pangani. Mheshimiwa Ummy aliyasema hayo wakati wa mahojiano...
  4. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia: Serikali Inaendelea na Ujenzi Barabara ya Amani - Muheza

    RAIS SAMIA: SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI BARABARA YA AMANI - MUHEZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na ujenzi wa barabara ya Amani - Muheza (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo Serikali inaendelea kutafuta fedha...
  5. Jidu La Mabambasi

    DOKEZO Ujenzi barabara Bagamoyo, Tegeta Mwenge yanafanyika makosa yale yale!

    Sasa hivi tunaona kuna ujenzi Bagamoyo Road, kipande cha Mwenge-Tegeta. Kama mwananchi nilikaa kipande hii muda mrefu napenda kuwatonya TANROADS kuwa MAKOSA YALE YALE ya kitaalam yanafanyika. Barabara hii iliwekewa mitaro ya maji ya mvua midogo sana sehemu hizi: -sehemu za maingiliano ya...
  6. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 TANROADS Mara yamtwisha mzigo Wasira ujenzi barabara muhimu

    Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mara, Eng. Vedastus Maribe, amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, kusaidia kushinikiza Serikali kuu ili kuhakikisha barabara muhimu za mkoa huo zinajengwa kwa kiwango cha lami. Maribe...
  7. M

    Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu

    Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo. Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya plan ya zamani kabla hata ya kufanya mabadiliko makubwa ktk plan ya zamani. Leo barabara za zamani...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maagizo kwa Mkandarasi Kuharakisha Ujenzi Barabara ya Kigamboni

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI KUHARAKISHA UJENZI BARABARA YA KIGAMBONI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amefanya ziara katika wilaya ya Kigamboni kujionea maendeleo ya miradi ya ujenzi wa barabara na kutoa maelekezo kwa mkandarasi anayetekeleza mradi huo, kampuni ya Nyakemore...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia aipongeza AfDB kwa kuwezesha mkopo wa Tsh. Bilioni 630 za ujenzi Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay (km 66)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa Mdau mkubwa wa sekta ya Miundombinu nchini ambapo wamewezesha mkopo wa Shilingi Bilioni 630 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mbinga –...
  10. milele amina

    CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
  11. S

    Unajenga barabara juu ya maji wakati ndani ya nchi kwa mfano Arusha -Kiteto barabara ni mbaya sana kuna gari moja tu

    Ukipitia barabara ya Arusha-Kiteto(Manyara) kupitia Orkesumet(Simanjiro) ni mbaya sana, basi linajaa kuanzia Arusha ni kukanyagana ni afadhali miaka kabla ya uhuru. Upande wa pili barabara zinapita juu ya maji njia 4 Km 3.2 ndani ya nchi ile ile. Niliumia sana na kuwashangaa wamasai. Bado kuna...
  12. Roving Journalist

    Dkt. Samia asema amesikia kilio ujenzi barabara ya Kibaoni - Mlele (km 50) kuchelewa kwa 15%

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji. Rais...
  13. Z

    Ujenzi wa barabara kuanzia Kibaha/Tamco/ Kidimu/ hadi Mapiga wapamba moto

    Baada ya kusuasua kwa muda mrefu sasa barabara hiyo inaenda kwa kasi kubwa chini ya Mkandarasi mpya Kings Builders. Wananchi wanaridhika kwa kasi ya ujenzi unaoendelea kwa sasa. Pongezi wa waziri wa Ujenzi pamoja na uongozi wa Tanroad Mkoa wa Pwani. Barabara hii ni muhimu sana kwani ndio...
  14. K

    Barabara ya Mbezi Victoria mpaka Bunju ( Awamu ya kwanza, Mbezi Victoria mpaka Mpigi Magoe-9.55km)

    Wakati Mheshimiwa Mbunge wa Kibamba akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi 2024/2025 alisema tangazo la tenda ya kujenga barabara ya Mbezi Victoria kwenda Mpigi Magoe limeshatoka. Nimetafuta kila mahala hili tangazo sijaliona kabisa, ninachokutana nacho ni tangazo la barabara ya kibamba shule to...
  15. C

    Kama una akili ya D mbili unaweza kufikiri aliyependekeza sh 50 ikatwe kwenye muda wa maongezi ni akili yake

    Kuna mheshimiwa mmoja alipendekeza sh.50 ikatwe kwenye muda wa maongezi kwa kila line ili kuchangia ujenzi wa barabara. Unaweza kufikiri ni akili yake amependekeza, lakini kusema kweli zile tozo zilizosababisha watumiaji wa mitandao ya simu kutuma pesa kupungua, zinakuja tena kwa dirisha la...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nancy Nyalusi alia na Madeni ya Wakandarasi yanayopelekea riba kubwa kwa Serikali

    ampongeza Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu na kikosi kizima cha Wizara ya Ujenzi. Sote tumeona jinsi ambavyo Mvua zimeharibu miundombinu kwa mwaka huu lakini wamehangaika usiku na mchana kuhakikisha huduma zinarejea kwa wananchi, tunawapongeza sana na kuwatia moyo, tuna imani na matarajio...
Back
Top Bottom