Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo.
Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile.
Haelewi Kama serikali na Bank...