Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha mikoa yote nchini inaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kwani kwa sasa, mikoa ya Katavi, Rukwa, Kagera, Lindi, na Mtwara ndio bado haijaunganishwa.
Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.
Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.
Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo...
Waziri wa nishati mh January Makamba ametoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere bungeni kuwa pamoja na kwamba ujenzi wa tuta lenye urefu wa mita 190 umekamilika lakini bado hawataweza kuanza kujaza maji tarehe 15 /11 /2021 kama ilivyokuwa imeahidiwa kutokana na...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa umeme wa maji ya Mto Rufiji (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati.
Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 10, 2021) baada ya kukagua...
Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani mwa wabunge wetu, nimeogopa sana.
Na hii imekuja baada ya ile kauli ya hayati Rais John Joseph...
Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022.
Mhandisi Dismas Mbote, Mhandisi wa ujenzi njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.