WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa umeme wa maji ya Mto Rufiji (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati.
Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 10, 2021) baada ya kukagua...
Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022.
Mhandisi Dismas Mbote, Mhandisi wa ujenzi njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji...