Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule.
Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo...
Mwezi wa disemba mwaka 2021 nyumba nilipokea simu kutoka kwa msimamizi wa nyumba ya kupangisha.
Hitaji la msimamizi na mwenye nyumba huyu lilikuwa ni kujifunza mbinu bora za kupambana na wapangaji waharibifu.
Aliendelea kutoa maelezo kuwa hajawahi kutana na changamoto ya kutolipwa kodi ya...
Kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo imekuwa ni chanagamoto kubwa kwa wengi. Changamoto hii inasababishwa na kukosa maarifa sahihi na kufanyia kazi maarifa sahihi.
Ili uondoe hofu ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo unahitaji kuwa na maarifa sahihi.
Maarifa sahihi yatasaidia kuondoa...
Habari wakuu,
Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu.
Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu.
Nashukuru sana kwa mchango wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.