Ewe Waziri wa Ardhi, Halmashauri, Tanroads na tarura.
Tunaomba sana watu wote wanaojenga ovyo magenge mitaani, vibanda vya mkaa na wale waliojenga road reserve hata kama ni wakubwa wabomolewe haraka.
Sehemu za kupita zimekuwa finyu. Fujo na uswahili umezidi. Piteni mitaa yote Dar mvunje hivi...