ujenzi holela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    DOKEZO Ujenzi holela ndani ya Manispaa ya Moshi, ukiendana na uongozi mbovu wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi

    Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu. Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu wa sera na kanuni za mipango miji. Ujenzi holela wa maeneo kama vile bar, car wash, na biashara...
  2. JanguKamaJangu

    DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  3. A

    KERO Ujenzi holela wa fremu za maduka kila kona, mipango miji wanafanya kazi gani?

    Hii sio sawa fremu zinajengwa kila sehemu kila kona, hivi wanaohusika na mipango miji wapo kweli? Mji mkubwa kama Dar es Salaam hili limekuwa kiboko, hivi matumizi ya ardhi yapo kweli? Yaani sasa hvi hakuna maeneo ya makazi na maeneo ya biashara, kila sehemu ni biashara tu mafremu yanajengwa...
  4. A

    KERO TANROADS, kwanini mnaruhusu watu kujenga kwenye hifadhi ya barabara? Mnaweka amri ya Katazo baada ya wiki ujenzi unaendelea

    Kuna utaratibu wa TANROADS kuruhusu ujenzi wa majengo kwenye hifadhi ya barabara. Kuna ujenzi pia unaendelea kwenye hifadhi ya barabara za TARURA. Wanachofanya nikuweka Katazo kwa lengo la wewe kufika ofisini kwao, ukifika unaongea nao kwa capital letter then wanakuambia kaendelee. Watanzania...
  5. Morning_star

    Mitaa yetu mingi haina nafasi za wazi kwaajilli ya kupumzika. Huwa unaenda wapi kupunga upepo?

    Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile. Nyumbani wakati fulani panakuwa na miingiliano mingi ya wife, watoto, jamaa na marafiki au wewe kama...
  6. I

    Ripoti ya Takukuru kuhusu 'ujenzi holela wa vituo vya mafuta' ilibaini Kituo cha Lake Oil Kawe kipo eneo salama? mbona kinabomolewa na kujengwa upya

    Miezi sita iliyopita hapa jukwaani kulikuwepo na mijadala kuhusu ujenzi holela wa vituo vya mafuta hali ambayo inadaiwa kuhatarisha usalama wa Wananchi kutokana na vituo hivyo kujengwa karibu na makazi ya watu. Mfano wa Kituo cha mafuta kilichotajwa ni kituo cha Lake Oil kilichopo Kawe...
  7. M

    Agizo la Waziri wa Ardhi juu ya ujenzi holela wa vituo vya mafuta liliishia wapi?

    Wadau kama mtakumbuka Waziri Silaa alipoteuliwa tu kuwa Waziri ktk siku zake 100 za kwanza moja ya maagizo yake mazito ni hili la kuzuia ujenzi wa vituo vya mafuta nchi nzima na kuwataka makamishna wasaidizi wa mikoa kumpelekea orodha ya vituo vya mafuta vikionesha umbali toka kituo hadi kituo...
  8. mahindi hayaoti mjini

    Kuondoa machinga halafu kuruhusu ujenzi holela wa vibanda vya biashara sio sawa

    Ni kweli Kariakoo ni sehemu ya biashara hilo halina ubishi, lakini ukweli mwingine pia ni makazi na matumizi ya wengi wapitao njia. Embu pita tu pale Kariakoo uone jinsi nyumba zinavyobadilishwa, vichochoro vyote sasa ni viduka, gorofa zinabadilishwa kutoka makazi kuwa maduka kimya kimya...
  9. Aliko Musa

    Jinsi ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo ndani ya miaka miwili (2)

    Kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo imekuwa ni chanagamoto kubwa kwa wengi. Changamoto hii inasababishwa na kukosa maarifa sahihi na kufanyia kazi maarifa sahihi. Ili uondoe hofu ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo unahitaji kuwa na maarifa sahihi. Maarifa sahihi yatasaidia kuondoa...
  10. Opportunity Cost

    Rais Samia umemuachaje Waziri Lukuvu bila kumtumbua?

    Kongole kwa reshuffle. Nipongeze kwa mabadiliko kidogo ya Baraza la Mawaziri,kuna watu walikuwa mizigo kama Waziri wa Ujenzi na Nishati na umewatumbua. Lakini sasa kuna watu umewaacha Barazani ila ni mizigo mizito,mtu kama Lukuvi na Mkuchika wameshachoka kwa sasa inafaa wapumzishwe...
  11. D

    Serikali itazame ujenzi holela wa vibanda mitaani

    Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani. Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
Back
Top Bottom