Miezi sita iliyopita hapa jukwaani kulikuwepo na mijadala kuhusu ujenzi holela wa vituo vya mafuta hali ambayo inadaiwa kuhatarisha usalama wa Wananchi kutokana na vituo hivyo kujengwa karibu na makazi ya watu.
Mfano wa Kituo cha mafuta kilichotajwa ni kituo cha Lake Oil kilichopo Kawe...
Wadau kama mtakumbuka Waziri Silaa alipoteuliwa tu kuwa Waziri ktk siku zake 100 za kwanza moja ya maagizo yake mazito ni hili la kuzuia ujenzi wa vituo vya mafuta nchi nzima na kuwataka makamishna wasaidizi wa mikoa kumpelekea orodha ya vituo vya mafuta vikionesha umbali toka kituo hadi kituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.