ujenzi kanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Samia atangaza kuchangia Milioni 20 ujenzi wa kanisa la Masanja Mkandamizaji la "Feel Free Church"

    Wakuu, Rais Samia ametangaza kuchangia Milioni 20 Ujenzi wa kanisani la Feel Free Church la Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji. Soma pia: Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT Samia ametangaza mchango wake huo kupitia akaunti yake ya X
  2. P

    Mchango wa ujenzi wa kanisa aliotoa Rais Samia unatoka serikalini au mfukoni kwake? Nini kipo nyuma ya mchango huo?

    Wakuu, Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake. Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake? Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…