ujenzi wa barabara singida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yasema Tsh. Bilioni 93 zimetolewa Singida kwa ajili ya uwekaji wa Taa, Barabara na Madaraja

    Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi ya uwekaji taa za barabarani, Ujenzi na matengenezo ya Barabara, Pamoja na ujenzi wa madaraja. Kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…