Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi.
Dkt. Biteko amesema...
MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA.
💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪
Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
Wakuu,
Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake.
Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake?
Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa
Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya .
Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa...
Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa.
Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.
Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku...
Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa
Mungu wa mbinguni awabariki
Chanzo: Clouds Media
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.