Yaani nchi maskini kama Tanzania yenye uchumi mdogo wa kumudu changamoto za nyumbani kwake mwenyewe, unatoa tena hicho kidogo na kukipeleka nje kuzijenga na kuendeleza nchi za wenzetu. Hii sio akili!
Kuna mambo mengi hapa nchini tunaweza kuyafanya na yakatuvutia uwekezaji mwingine mkubwa tu, na...