Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Kaengesa – Chitete (km 6.4) sehemu ya Kaengesa - Seminari (km 3.4) kwa kiwango cha lami Wilayani Sumbawanga.
Dkt. Samia ameweka jiwe la msingi Julai 17, 2024 Mkoani Rukwa na kukagua...
RAIS SAMIA AKAMILISHA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA ILIYOASISIWA NA JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Kaengesa – Chitete (km 6.4) sehemu ya Kaengesa - Seminari (km 3.4) kwa kiwango cha lami Wilayani...
Huu ni mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 tarehe 30 Mei 2024 bungeni Dodoma.
“....Serikali tarehe 16 Juni 2023 kupitia Wizara ya Ujenzi ikiongozwa na Prof. Makame Mbarawa by then, ilisaini mikataba saba...
WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu.
Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji...
SERIKALI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Jackline Msongozi ameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa wakati bila kusubiri misimu kwa kujenga vipande nusu nusu.
Ameyasema hayo wakati akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi na uchukuzi...
Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama ifuatavyo:-
Ili kudhibiti matumizi ya...
BILL COUNTER MACHINE*
MASHINE YA KUHESABIA HELA
🔺Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services
🔺Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa
🔺Mawakala wa...
LUHAGA MPINA AMSIFU BUNGENI MH. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KASI NZURI YA UJENZI MIRADI YA SGR KIPANDE CHA MWANZA- ISAKA NA MIRADI YA TARURA
"Mhe. Spika na mimi nashukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia wizara hii muhimu sana, wizara ambayo inatunza rasilimali za W atanzania.
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.