Kanisa letu la kilokole, lililopo Mafinga, limefanikiwa kutoa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa msikiti. Hatua hii inalenga kuwaepusha Waislamu na adha ya kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya ibada, sambamba na kuimarisha upendo na amani miongoni mwa jamii. Kama mzee wa kanisa, nimepongeza juhudi...