Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mradi wa Mabasi yaendayo Kasi unatarajia kupokea Mabasi mapya kuanzia mwezi wa Pili hadi wa Tatu mwaka 2025
Akizungumza leo Januari 2, 2025 amesema "Tayari kuna Mabasi yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza...