Licha ya Mtaa wa Kambarage kuwa na idadi kubwa ya wakazi zaidi ya mitaa mingine yote ya mjini Njombe changamoto kubwa inayoendelea ni kushindwa kumaliza ujenzi wa ofisi yake ulioanza miaka 12 iliyopita.
Mtaa huu unaokaliwa na wakazi 15,195, unahudumiwa katika chumba kimoja kidogo cha kupangisha...
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo.
"Hii ni kutokana na changamoto ambazo wanachama wanakutana nazo wanapohitaji huduma za Chama, ambapo walikuwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Pwani kimeanza kwa kasi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa ofisi ya chama hicho, ambao sasa uko katika hatua za msingi na unaendelea vizuri.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi, Baraka Nandonde, amethibitisha kuwa mafundi wameshaingia eneo la mradi...
Moshi
mbunge wa jimbo La Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro, Prof Patrick Ndakidemi amefanya ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa ofisi ya Tarafa ya Hai Mashariki iliyopo katika Kata ya Kimochi.
Mbali na kukagua ujenzi huo,Profesa Ndakidemi pia alizungumza na wananchi katika mkutano wa...
NI KISHINDO CHA BALOZI NCHIMBI AANZlA JIMBO LA MTWARA VIJIJINI CCM YACHANGIA MILLIONI 10 UJENZI WA OFISI YA CHAMA
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiambatana na Wajumbe wa Sektarieti ameendelea na Ziara yake Mikoa Miwili ya kusini ambayo ni Lindi na Mtwara leo tarehe 29...
Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Mohammed Builders Limited.
Dkt. Kijaji amebainisha...
Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele.
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo.
Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema...
Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city.
Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO.
Biashara hii ya BPO India na Phillipines ndio zimedominate.
=========
CCI Global, the largest international...
Wakuu niko dodoma mjini hapa mitaa ya changombe kuna kijana anapita akichangisha fedha za kujenga ofisi ya serikali za mitaa anataka buku kila frame za kubeba matofali naomba kujuzwa nikimtimua kisheria ni kosa au maana buku ni ndogo ila hii serikali imeshatuona wananchi wake ni nyumbu kuna...
Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma.
Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo
Mungu ibariki Chadema
Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?
Hiki chama kwa sasa ni kama kimeshindikana, hawawezi tena kukitoa kwenye reli , pamoja na unyama wote wanaotendewa lakini hawaachi mikakati yao ipotee.
Hebu jionee mwenyewe
Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani .
Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
Mwenyekiti wa cdm amezidi kutikisa nchi akiwa anasimamia kufungua matawi na kuhimiza ujenzi wa ofisi za chama nchi mzima.
Hapa chini ni video akionekana kupokelewa kwa vifijo na bashasha na wananchi wenye mapenzi mema na nchi yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.