ujenzi wa shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    RC Lindi aiagiza halmashauri ya Mtama kusimamia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
  2. upupu255

    Pre GE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
  3. The Watchman

    Serikali imekamilisha ujenzi wa shule ya sekondari, Wanafunzi wamezeshwa script iliyowasaliti kumsifia Rais Samia

    Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kata ya Hinju, halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya kisasa ya kata, iliyogharimu zaidi ya shilingi Milioni 560. Kwa kipindi kirefu wanafunzi wa kata hiyo, wamepitia mateso ya kutembea umbali umrefu kwenda...
  4. The Watchman

    Dodoma: Serikali ina mpango gani na shule hii chakavu, yenye mwalimu mmoja na wanafunzi zaidi ya 90?

    Wananchi wa kitongoji cha Kwaduria wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamelazimika kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kunusuru watoto wao ambao wanatembea umbali wa km 8 kwenda shule ya msingi Songolo
  5. The Watchman

    Rukwa: Tume ya madini kuimarisha usimamizi wa sheria kuinufaisha jamii dhidi rasilimali zake, ujenzi wa shule wachangiwa mifuko 50 ya Saruji

    Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo. Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
  6. The Watchman

    RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. Telack ametoa wito huo mapema alipotembelea kukagua ujenzi wa shule na miundombinu hiyo ya elimu yenye thamani ya Bilioni 7.8 Soma pia: Pre...
  7. The Watchman

    Pre GE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya bilioni nne iliyojengwa kata ya Busale wilayani Kyela,na kuwataka Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi...
  8. JanguKamaJangu

    TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  9. The Watchman

    Kondoa, Dodoma: Ujenzi wa shule ya sekondari iliyogharimu milioni 544, wanafunzi wapya watakiwa kufanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
  10. The Watchman

    Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  11. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 11 zimetengwa ujenzi wa Shule 10 za Michezo

    BILIONI 11 ZIMETENGWA UJENZI SHULE 10 ZA MICHEZO Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Musa Sima imepokea na kujadili taarifa kuhusu maendeleo ya Sekta ya Michezo ikiwemo ujenzi wa Shule 56 za michezo nchi nzima, ambapo umeanza na Shule 10...
  12. Ndagullachrles

    Pre GE2025 Rais Samia achangia shilingi milioni 50, ujenzi wa shule ya Msingi na ujenzi wa majengo ya Zahanati inayomilikiwa na Bakwata Simiyu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya ujenzi wa shule ya msingi na uchangiaji wa majengo ya zahanati unamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania - BAKWATA mkoa wa Simiyu. Harambee hiyo iliyoendeshwa na Waziri...
  13. Stephano Mgendanyi

    NW Katimba: Bilioni 6.7 Zimetumika Kuboresha Ujenzi wa Shule za Sekondari 10 Muheza (W), Tanga

    NW KATIMBA: BILIONI 6.7 ZIMETUMIKA KUBORESHA UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI 10 MUHEZA (W), TANGA Takribani shilingi Bilioni 6.7 zimetumika katika ujenzi wa shule za sekondari 10 katika Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki achangia Mifuko Ishirini ya Saruji kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Msingi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Atimiza Ahadi yake ya kuchangia Mifuko ya Saruji Ishirini (20) kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Msingi Majengo. Mbunge Martha Mariki aliambatana na viongozi waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya ya Umoja...
  15. T

    Michenga, Ruangwa: Wanakijiji walazimishwa kujitolea ujenzi wa shule ya Sekondari

    Wanakijiji wa Michenga Ruangwa Lindi walazimishwa kujitolea kwenye shule ya sekondari Michenga ila mwenge wa uhuru ulivyokuja kufungua jengo bajeti inasema kusafisha eneo, kuchimba msingi pamoja na kujaza kifusi kwenye vyumba wametumia milioni 15 wakati hizo kazi zimefanywa na wananchi.
Back
Top Bottom