ujenzi wa shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bilioni 11 zimetengwa ujenzi wa Shule 10 za Michezo

    BILIONI 11 ZIMETENGWA UJENZI SHULE 10 ZA MICHEZO Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Musa Sima imepokea na kujadili taarifa kuhusu maendeleo ya Sekta ya Michezo ikiwemo ujenzi wa Shule 56 za michezo nchi nzima, ambapo umeanza na Shule 10...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia shilingi milioni 50, ujenzi wa shule ya Msingi na ujenzi wa majengo ya Zahanati inayomilikiwa na Bakwata Simiyu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya ujenzi wa shule ya msingi na uchangiaji wa majengo ya zahanati unamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania - BAKWATA mkoa wa Simiyu. Harambee hiyo iliyoendeshwa na Waziri...
  3. JamiiForums Tanzania NW Katimba: Bilioni 6.7 Zimetumika Kuboresha Ujenzi wa Shule za Sekondari 10 Muheza (W), Tanga

    NW KATIMBA: BILIONI 6.7 ZIMETUMIKA KUBORESHA UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI 10 MUHEZA (W), TANGA Takribani shilingi Bilioni 6.7 zimetumika katika ujenzi wa shule za sekondari 10 katika Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki achangia Mifuko Ishirini ya Saruji kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Msingi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Atimiza Ahadi yake ya kuchangia Mifuko ya Saruji Ishirini (20) kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Msingi Majengo. Mbunge Martha Mariki aliambatana na viongozi waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya ya Umoja...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Michenga, Ruangwa: Wanakijiji walazimishwa kujitolea ujenzi wa shule ya Sekondari

    Wanakijiji wa Michenga Ruangwa Lindi walazimishwa kujitolea kwenye shule ya sekondari Michenga ila mwenge wa uhuru ulivyokuja kufungua jengo bajeti inasema kusafisha eneo, kuchimba msingi pamoja na kujaza kifusi kwenye vyumba wametumia milioni 15 wakati hizo kazi zimefanywa na wananchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…