Habari za mchana wanajf,
Katika pitapita yangu asubuhi nikiwa nafanya mazoezi, nimegundua watu wengine wenye vyoo vya nje, huingia na chupa kubwa za maji tupu, ndio mdogo, mabeseni nk ili usiku wakiwa wamelala wakibanwa na haja mdogo wasitoke nje kwenda vyooni. Haja zao humaliza kwenye ndio...