Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa.
Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...