ujenzi

  1. Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Vishoka Wanaoshikilia Maeneo Yenye Malighafi za Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni...
  2. Bashungwa: Wataalam Waliostaafu Kuendelea Kutumika Katika Ujenzi na Matengenezo ya Barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  3. SoC04 Ujenzi wa barabara mpya uzingatie na upandaji wa miti na maua ili kupendezesha mandhari ya barabara hizo

    Kwanza nitumie fursa hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya ujenzi, TANROADS na TARURA kwa miradi yote ya ujenzi wa barabara iliyokwisha kamilika, inayoendelea kukamilishwa na itakayokamilishwa nchini kote. Napenda kuzungumzia barabara kuu zinazopatikana ndani ya majiji katika nchi yetu ya...
  4. J

    Bashungwa: Wataalam waliostaafu kuendelea kutumika katika ujenzi na matengenzo ya barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  5. Wizara ya Ujenzi Yaanika Vipaumbele Tisa

    WIZARA YA UJENZI YAANIKA VIPAUMBELE TISA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amebainisha vipaumbele tisa vya Wizara ya Ujenzi itakavyotekeleza katika bajeti mwaka 2024/25. Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara na taasisi zake kwa mwaka 2024/25, Bashungwa amesema...
  6. Waziri Bashungwa: TANROADS kuanza ujenzi wa Daraja la Jangwani

    TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha...
  7. K

    Wananchi tunauliza kulikoni ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza hadi Isaka?

    Wananchi tulishuhudia ujenzi wa reli ya kisasa toka Mwanza mpaka Isaka - Shinyanga na ghafla tunaona ujenzi huo umesimama. Tunauliza kulikoni?. Ni vema Serikali ikawajulisha wananchi sababu za kupelekea ujenzi huo kusimama ghafla.
  8. Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
  9. Wizara ya Ujenzi kutumia Tsh. Trilioni 1.76 mwaka 2024/25

    Katika mwaka wa fedha 2024/25, Wizara ya Ujenzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 1,769,296,152,000 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Kati ya fedha hizo Shilingi 81,407,438,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida ya Wizara na Taasisi na Shilingi...
  10. Bashungwa: Sekta ya ujenzi yachangia asilimia 14 pato la taifa

    SEKTA YA UJENZI YACHANGIA ASILIMIA 14 PATO LA TAIFA Sekta ya Ujenzi imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 12 kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  11. Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

    Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Leo tarehe 29 Mei 2024.
  12. Spika wa Bunge, Dkt. Tulia asisitiza Wizara ya Ujenzi kuzingatia ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa Serikali

    SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali. Dkt Tulia amesema hayo tarehe 27 Mei 2024 Bungeni Jijini...
  13. Bashungwa Akagua Maonesho ya Sekta ya Ujenzi - Bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kuanzia leo Mei 27, 2024...
  14. Waziri Bashungwa akagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi katika viwanja vya Bunge

    BASHUNGWA AKAGUA MAONESHO YA SEKTA YA UJENZI Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, amekagua mabanda ya Maonesho ya Sekta ya Ujenzi ambayo yanalenga kutoa elimu na huduma kuhusu kazi zinazofanywa na Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake. Maonesho hayo yanayotanyika kwa siku mbili katika viwanja vya...
  15. J

    Maonesho sekta ya ujenzi, viwanja vya Bunge Dodoma

    Maonesho sekta ya ujenzi - viwanja vya Bunge Dodoma. TAREHE: 27 - 28 MEI, 2024.
  16. Gypsum bora kwa sasa

    Habari wakuu, Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni. Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo: Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000) -Gyproc -Oriana Made in Thailand [Tsh 24000-27000] -Standard gypsum made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)...
  17. Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 25 Mei, 2024.
  18. G

    Gharama ya ujenzi wa vyumba 3 vyote self?

    Habari. Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu kiasi gani, naomba mwenye uzoefu anijuze. Asante.
  19. Points 10 za ujenzi: Uchaguzi wa rangi

    MAKALA YA 10 Karibuni katika Makala pendwa ambapo tunajadili mambo mbalimbali kuhusiana na ujenzi. Leo tuangazie kwenye kipengele cha Uchaguzi wa rangi(Colour) ya matilio ya kumalizia/finishing jengo Lako. 1.RANGI : ni ule ubainifu au ujuaji wa miale ya mwangaza inapoingia katika kitu fulani...
  20. Nahitaji likizo, baada ya kumaliza ujenzi

    Acheni jamani, Naumwa. Yani nina kama burn out fulani, hata siwezi kupokea simu za watu. Ujenzi unachosha sio tu mfuko, na wewe pia unayesimamia unachoka hovyo kabisa. Nilianza mwezi wa saba mwaka jana, na mwezi huu nimemaliza. Utukufu kwa MUNGU Mkuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…