Hesabu hii ni kwa ujenzi wa Nyumba simple ya vyumba vitatu (kimoja master)
Ikiwa na upana wa mita 9.5X10.4
KUJENGA BOMA
tofali (jumla) ...... 3,130pc
mchanga ......... 16m3
saruji ............... 113 mifuko
kokoto ................. 9 m3
Nondo ................ 71pc...
Habarini wakuu,
Kuna mjadala uliletwa humu kuhusu ni nyumba zipi zina gharama nafuu kwenye ujenzi kati ya hizi za kisasa za kuficha bati (‘contempoarary) na zile za kawaida. Ambapo kwa uzoefu wangu nilijaribu kuelezea kuwa kwa kawaida tunatarajia nyumba za paa la kuficha zitatumia tofali nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.