“Ikiwa huwezi kusoma vizuri, kufikiri kwa mantiki, au kuelewa habari unazozipata — basi wewe si sehemu ya suluhisho, bali ni mzigo wa taifa.”
Ni wakati wa kusema ukweli bila kificho: Ujinga sio tatizo dogo tena — ni janga la kitaifa.
Ukiangalia hali ya Marekani, ambayo kwa miongo mingi imekuwa...