Uzinzi ni nini?
Uzinzi ni kitendo cha wanandoa wawili wasiotosheka na ndoa zao na kwenda kukutana kimwili na wanandoa wengine, yaani ni kitendo cha kufanya ngono na mtu asiyehalali yako.
Pana mjane mmoja wa watoto saba hadi leo ajakaa sawa kiakili baada ya kutumiwa clip ya video wasap ya wauaji...