Kuhusu maendeleo ya kiteknolojia, Africa hatujalogwa na wala hatuna udhaifu wowote ule wa kimwili au kiakili unaotufanya tuwe nyuma kiasi hiki, bali ni mazingira ya makusudi tuliyowekewa na waliotutangulia kuhakikisha tunabaki nyuma zaidi ili tusipate uwezo wa kuzitumia rasilimali zetu na hivyo...