ukaguzi wa daladala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Tukikagua kila daladala hapa Dar watu wengi mtafukuzwa kazi kwa kuchelewa

    Nimeona ITV kuna zoezi linaendelea kwa kukagua daladala kila mji. Niwajuze tu kama mtakagua daladala za Dar es salaam yaani zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke. Nashauri zoezi liishie tu huko mikoani maana watu watakosa kazi kama sio kufukuzwa kwa kuchelewa kazini.
Back
Top Bottom