ukaguzi wa daladala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tukikagua kila daladala hapa Dar watu wengi mtafukuzwa kazi kwa kuchelewa

    Nimeona ITV kuna zoezi linaendelea kwa kukagua daladala kila mji. Niwajuze tu kama mtakagua daladala za Dar es salaam yaani zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke. Nashauri zoezi liishie tu huko mikoani maana watu watakosa kazi kama sio kufukuzwa kwa kuchelewa kazini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…