Siku ya jumatatu nilipata kwenda uwanja wa CCM Kirumba, kisha nikaenda sehemu ya haja ndogo.
Yaani Mazingira hayafai hata kidogo yaani vile vyoo vinavyozunguka ule uwanja ni vichafu sana na miundombinu yake imechakaa sana pia na ukizngatia taifa letu linajiandaa kuwa na mashindano makubwa...
Habarini ndugu members?
Mimi ni mwananchi wa kawaida ninayeishi bagamoyo. Nina kero nataka kuileta kwenu.
Ni kuhusu vyoo vya shule za sekondari na msingi. Hali ni mbaya sana vyoo vimejaa, vinanukaaa hata ukipita nje, hakuna maji, wanafunzi ni wengi vyoo vidogo.
Sijajua kwanini uwa hamfanyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.