ukakasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Ukiondoa Ukakasi wa Kauli za RC Chalamila Mnyonge Mnyongeni Ila Haki Yake Mpeni, Waafrika Tunapenda Kulelewa Mpaka Imekuwa Ulemavu

    NCHI INAZAMA KWA KUKUMBATIA UJINGA Je, umewahi kujiuliza kwa nini nchi hii haipigi hatua licha ya kuwa na rasilimali, amani, na nafasi za kujikwamua? Sababu iko wazi: tunakumbatia ujinga na kusambaza mzigo wa maamuzi yetu mabaya kwa wengine. Mtu anataka kondomu afadhiliwe, akishindwa kuitumia...
  2. britanicca

    Udadavuzi huru: Kuna ukakasi kwenye Taarifa ya Polisi juu ukamatwaji wa nondo, ama Nondo au Polisi kuna muongo

    Hii scene ilipangwa tu 1. Kwanza unakamatwa kwa purukushani na inadondoka begi lenye vitambulisho wala si simu wala kingine! Ni ili watu watambue katekwa Nani 2. ⁠Millard Ayo anafanya coverage ya masaa 24 ku report kinachoendelea wakati siyo tabia yake 3. ⁠Inatoka report ya polis aina ya...
  3. K

    Uajiri Ndani ya JWTZ Bado Una Utata na Ukakasi.

    Masiku kadhaa ulipita mjadala juu ya mchakato wa ajira ndani ya JWTZ,mchakato ambao umeonekana kugubikwa sana na walakini kutokana na ulivyoendesha. Tangazo la ajira lilitolewa,ila baada ya watu kuomba hakukuwa na taarifa yeyote kuhusiana na waliochaguliwa.Zaidi tu tulipata taarifa kwamba...
  4. F

    Kwanini rais Samia amerudi nyuma kwenye masuala ya maridhiano? Neno maridhiano sasa limekuwa na ukakasi mkubwa

    Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi. Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia. Maridhiano ilikuwa ni moja...
  5. Pang Fung Mi

    Napata Ukakasi wa Kumuita Magufuli kwa kibwagizo cha SHUJAA alipatwa na Umauti Kizembe sana

    Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma. Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za...
  6. Mkongwe Mzoefu

    Majina Anayotumia "Mama" Yanaleta Ukakasi, Jee Kunalililo Fichika?

    Nakumbuka alianzisha utaratibu kwa kusema ukimvaa basi Chawa wake watakuvaa. Hivyo anao hao chawa yaani viumbe wachafu. Majuzi kasema yeye ni "Chura kiziwi" hivyo hasikii kelele za nje. Sasa kazi kwenu, maandiko katika Ufunuo wa Yohana 16:13 " Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na...
  7. Msanii

    Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma. Tujisahihishe. Bado hatujachelewa Pia soma: Rais Samia...
  8. Wakili wa shetani

    Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

    Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi. Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu. Hata humu JF sijaona sehemu...
  9. A

    Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

    - Hii ni fair kwa heshima ya utu wa mwanadamu, japo ameshakuwa Marehem? - Taratibu na Sheria za Nchi zinaruhusu?
  10. mdukuzi

    CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

    Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti. Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
  11. To yeye

    Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

    Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani basi hana soko tena...🤔 Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndio anakosa soko kadri age linapokwenda? Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike...
  12. D

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Yule binti mwanafunzi aliyepotea! Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa! Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy! Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha...
  13. Suzy Elias

    Mzee Warioba: Ningehudhuria lakini siwezi kuchangia jambo lenye ukakasi

    Mwanangu asante kwa mwaliko japokuwa sioni cha kuzungumza kwenye huo mjadala uhusuo huo mkataba." Kiukweli siwezi kwenda kujadili jambo ambalo limezua mjadala mkubwa namna ile na halijajibiwa kwa kina na wahusika!" Suala la mipaka ya Nchi ni nyeti kama hilo la mpaka wetu wa bandari. Itoshe tu...
  14. B

    Maneno haya ya Rais Samia Siku ya Wanawake Duniani aliwalenga nani EAC?

    Hotuba ya Mama jana ikiangaliwa na wengi isingeweza kupita bure. Akijinadi kuwa wenzetu wako vibaya zaidi kiuchumi kuliko sisi, ingepokelewa vipi na majirani zetu? Kwamba mama alikuwa kawalenga nani hohe hahe hao ambao bila sisi wafwa? Imekaaje hii kidiplomasia? Hakuna ulimi ulioteleza...
  15. R

    Ili kuondoa ukakasi wa teuzi zinazofanywa, uteuzi wowote unaofanywa uoneshe sheria iliyotoa mamlaka ya kuteua

    Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake za kuteua na kutengua vifungu vya Sheria au katiba basi washauri WA sheria ofisini kwake Watakuwa...
  16. Mgimilamaganga

    Kalenda ya Masomo 2023 inatia ukakasi

    Habari za muda huu wadau wa elimu,bila kupoteza muda nisonge kwenye mada husika; Nimejaribu kupitia kalenda ya masomo iliyofanyiwa marekebisho,lakini kuna makosa kadhaa yamejitokeza hasa kwenye tarehe za likizo na mpangilio mzima wa vipindi. Ikumbukwe kuwa kalenda hii imetolewa kama mbadala wa...
  17. B

    Diamond dhidi ya TRA tuko naye, ila kauli zake!

    TRA kama ilivyo kwa Polisi, LATRA, Takukuru, EWURA, TCRA na wengine wa namna hiyo malamiko dhidi yao yanajulikana. Hakuwahi kusikia malalamiko ya watu wengine dhidi ya mamlaka hizi ikiwamo TRA? Haihitaji kumiliki basi kujua ndivyo sivyo za LATRA, au kuwa na gari au kituo cha mafuta kujua...
  18. S

    SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  19. Cobra70

    Kwenye Walimu wa kujitolea kuna ukakasi ila Rais nimekuelewa

    Wanabodi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee.. Kwanza nampongeza mh. raisi kwa maono marefu katika katika eneo la utumishi wa umma hasa kwenye kada ya elimu pamoja na ualimu wenyewe. Raisi ameona mbali sana katika ualimu. Katika kongamano la wanawake...
  20. Jidu La Mabambasi

    Hongera Rais Samia kwa kujitahidi kuondoa ukakasi wa uadui wa kisiasa nchini

    Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya. Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala Tundu Lissu alionana na...
Back
Top Bottom