ALMASI, KITU KIDOGO KILIVYO WEZA KULETA UKAKASI KATIKA ARIDHI YA TANZANIA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Tuesday -1/02/2022
Iringa Tanzania
Kuna Kisa cha kiarabu huko Iran cha miaka 2400 iliyopita inayoelezea kuwa chanzo cha almasi ni kutoka huko Uajemi, kwenye moja ya miliki ya mfalme...