ukali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Lissu punguza ukali wa maneno unapoita jina la Rais Samia

    Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi? Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji taka.Wewe ni mwanasheria msomi mama Abdul ni nani? Machawa wa Lissu saidieni hili
  2. Mkalukungone mwamba

    Jina lipi la utani mlimbatiza baba yako kutokana na ukali wake?

    Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia. Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi. Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na...
  3. J

    Ukali wa Mchengerwa kwa wakandarasi ni chachu katika kukamilisha miradi kwa wakati

    UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI. Na, John Swai Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ana msimamo thabiti kuhusu uwajibikaji na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
  4. Kabende Msakila

    Sitamani Ukuu wa Mkoa - ikitokea nikawa basi ukali wangu ni zaidi ya Paul Makonda

    Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona. * Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa! * Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
  5. Equation x

    Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

    Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano. Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi. Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale. Kwa leo ni hayo tu.
  6. Equation x

    Mpenzi wangu ananiangalia kwa jicho la ukali kweli

    Huyu mpenzi wangu simuelewi kabisa, tangu mchana leo amekuwa mkali kweli na ananiangalia kwa jicho la hasira. Na ameanza kubadilika baada ya kuniona nakula nazi mbichi tatu, mihogo mibichi sita, na sasa namalizia karanga mbichi sado moja. Sasa sijui, hapendi nile vitu vya asili; au anataka...
  7. Suzy Elias

    Magufuli kwa ukali: " Wewe RM yaani unazidiwa kuamua na mwandishi wa habari Msigwa, kweli?!

    Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC. Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
  8. K

    Ukali wa Rais Samia ni muhimu kwa utamaduni wetu

    Watanzania hatuongopi mpaka tugombezwe, huu ndio utamaduni na Rais amegundua kwamba kuna wakati lazima uonyeshwe ukali sana kwa mabadiliko kutokea. Tatizo sio mifumo tena ni wezi unao anzia juu hata makatibu wakuu, wakurugenzi nk nao ni wala rushwa . Wakati mwingine wana hujumu makusudi kama...
  9. The Supreme Conqueror

    Wananchi wanategemea kuona ukali wa Rais Samia katika kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri leo

    Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo: 1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
  10. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fyatu: Ukali wa Mbwa Humtegemea Mwenye Mbwa...

    Na. M. M. Mwanakijiji Unaweza ukakuta mbwa asiyebweka; unaweza kukuta mbwa anayebwekabweka tu lakini hang'ati. Kuna mbwa mwingine ukimtazama tu unajua huyu "shughuli". Na unaweza kukuta mbwa wanaopenda kucheza cheza; hawafoki, hawabweki, wapo wapo tu ila wanaona raha kuita "puppy, puppy"! Siyo...
  11. Ignatus Mkonga

    SoC02 Namna bora ya kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi

    Habari wapendwa, Ni matumaini yangu kuwa hamjambo kwa neema ya Mwenyezi Mungu. Kupitia jukwaa hili la "Stories Of Change" napenda kushiriki kwa kuja na mada isemayo "Namna Bora ya kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi" Kwanini nimeamua kuja na mada hii? 1. Naamini ni njia mojawapo ya...
  12. Teko Modise

    Ukali wa Maisha: Wananchi waiomba Dstv ipunguze vifurushi vyake

    Kupitia ukurasa rasmi wa Dstv huko Instagram, wananchi wengi ambao ni wateja wa Dstv wameomba kupunguziwa gharama hasa kwenye vifurushi kutokana na ukali wa maisha. Wengine wakaenda nbali zaidi, kuwa wanatumia king'amuzi cha Canal hivyo hawako tayari kunyonywa na gharama kubwa za Dstv. Wakati...
  13. Lord denning

    Rais Samia fanya hili ili ukali wa gharama za maisha uwe historia Tanzania

    Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f. Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna vitalu takribani 28 vya gesi bado havijafanyiwa utafiti jambo ambalo endapo litafanyika linaweza...
  14. saidoo25

    Ukali wa maisha upo lakini sio kwa Tanzania peke yake"- Dkt. Anthony Diallo

    Nimemsikiliza Dk. Antony Dialo akizungumzia ugumu wa maisha kuwa na kufanya uchambuzi wake msikilize hapa:
  15. P

    Rais Samia upole ukizidi watataka wakae juu ya mabega yako, kuwa mkali kidogo.

    Urais wa Samia Suluhu Hassan umeanza na upole. Umeanza na uungwana wa kuwa tayari kupoteza baadhi ya marafiki ili mradi tu taswira yake kimataifa iweze kubakia na heshima. Akaenda Ubelgiji akaonana na Tundu Lissu wakati ambao wapo wana CCM wengi tu wasingependa kumuona akijishusha (kwa mujibu wa...
  16. N

    Siuku hizi Rais wetu amekuwa na sura ya ukali sana!

    Bahati mbaya nimeshindwa kuziweka picha zake hapa. Lakini nimechunguza tangu Ndugai amkorofishw hacheki cheki tena na amevaa sura ya ukali. Ningeshauri asiwe hivyo tunataka awe na sura ya ucheshi angalau! Kuongoza kupo hiyo hata usiotegemea wakudissapoint inaweza ikatokea wakakufanyia hivyo so...
  17. K

    Ukali wa Rais Samia ni mzuri kwa nchi yetu kwa sasa

    Raisi ameanza kuamini tuliyokuwa tunamwambia kwamba asiwaamini wote wanao mzunguka. Lakini vilevile amegundua kuna watu walikuwa wana mfitini na kuwaelekeza upinzani kuhusu kukamatwa kwa Mbowe na kuhakikisha wapinzani anawaona kama wabaya. Ndugai " Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nao sawa waje...
  18. mgt software

    Ukali wa Rais Samia kifo rasmi cha CCM Asilia na CCM Chotara, CCM Chawa nao hawatafanikiwa

    Wana JF Baada ya Mama Yetu Rais na Chief kutema nyongo kwa makundi yanayoendelea kuandaa kuvuruga mipango yake ya sasa ya kuboresha nchi na kuondoa makondokonda makubwa pamoja na vidonda vilivyoachwa na serikali tangulizi, nupende tu kusema basi kifo rasmi cha Ccm asilia wanaojinasibu kama...
  19. chizcom

    Ukitaka ukweli ndani ya chochote wanakimbilia ukali kwanza na vitisho

    Swala lote kutaka ufahamu kuhusu ukweli wa jambo lolote kuhusu sababu au jambo fulani, basi unaweza kupata tatizo au kushambuliwa au kupotea kabisa Sehemu zifuatazo: 1: Imani za dini zote 2: Serikali 3: Ukweli au Uongo 4: Historia n.k Hizi ni sehemu ambazo uwezi kubaki salama duniani
  20. F

    Rais Samia, ongeza ukali watakuheshimu

    Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote. Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha maendeleo ya nchi kwa makusudi makubwa Sana kwa baadhi ya wanasiasa. Taifa hili linahitaji busara...
Back
Top Bottom