Habarini za siku nyingi, wakuu
1.Leo, ninaomba mnipe mawazo yenu, hivi nikienda kusomea ukalimani wa lugha ya kichina uhakika wa kupata kazi je upo?
2.chuo kipi kwa hapo daslam wanachofundisha kichina vizuri
3. Bei ni shingapi?
4.kwa muda gani angalau mtu anaweza kuwa competent kwenye kichina