Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji...
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita
Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana...
Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na waandishi wa habari kabla ya mikusanyiko iliyopangwa kufanyika Mbeya katika kuadhimisha Siku ya...
Tumeshuhudia la wama nyingi katika mitandao ya kijamii wa kilaumu polisi mbeya kwa kuwatia nguvuni viongozi wa chama cha CHADEMA. Hivi ukiwa mpinzani ukikosea hutakiwi kukamatwa? Tanzania tunatakiwa kujipongeza kwa kuwa na jeshi imara na wanao jua kazi zao.
Je, mnataka Yale ya Kenya ya je hapa...
Habari njema kutoka Mbeya
Vijana wa CHADEMA waliokuwa kituo cha Polisi Utengule Mbalizi wameachiwa usiku huu bila masharti yoyote.
Updates
Catherine Ruge: Wameachiwa wote isipokuwa wanawake 19 bado wako mahabusu. HOW?
Pia soma
John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.