Wanajamii nawasalimu, natumaini wote mpo salama weekend hii.
Sasa niende kwenye point hasa kwenye suala ukamataji wa jeshi letu hasa pale inapotokea uhalifu.
Mfano tukio la Mwanza, Polisi anasema watuhumiwa walikuwa na mapanga hivyo ikabidi watumie risasi za Moto. Sawa walikuwa wanajihami...