Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini.
RC Senyamule ametoa maagizo hayo hapa Jijini Dodoma wakati akihitimisha kikao cha...