David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki.
"Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
Habari wakuu!
Kutokana na migogoro ambayo haiishi hapa katika nchi zetu za Afrika hususani kusini mwa jangwa la Sahara napendekeza baadhi ya mambo ambayo yatadumisha amani yetu.
1.Viongozi wa Africa waungane na wamalize tofauti zao zisio na tija kama tunavyoona baina ya Kagame na Tshisekedi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo.
Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
Wanaukumbi.
Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel
"Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani mara moja, au hii imekuwa kubwa sana kwako?"
Baada ya muda huyo mateka na wenzake 5 waliuliwa na IDF...
Habari za jioni wana jamii leo nimekaa na kuwaza kuhusu nchi yetu ya Tanzania kwa kina na kwa upana sikuwa na budi bali kuandika haya mambo kwa sisi watanzania wote
Tanzania ni nchi ambayo imekaa vizuri kijiografia yaani tumezungukwa na nchi nane tunaweza sema tisa tukiweka na visiwa vya...
Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya.
Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki Wameungana na Polisi wenzao kutoka Nchini Rwanda kuuwakumbuka Wananchi waliopoteza maisha katika mauaji ya kimbari Nchini Rwanda.
Akiongea leo Aprili 14,2024 katika Shule ya Polisi Tanzania Mkoani Kilimanjaro Mkurungenzi Mkuu wa...
Kwanza kabisa naomba nikosoe kitabu cha bibilia ambacho ndicho kinaipa mamlaka ISRAEL ya kuharibu amani ya Middle East na Inaonekana ni mkakati ambao umeandaliwa ili kuvuruga amani ya waarabu kwa kuwadhoofisha kwani ndiyo nchi pekee zinazomiliki nishati ya mafuta kwa wingi/utajiri hivyo...
Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna.....
Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
Upepo kuhusiana na Palestina unazidi kushika kasi dunia nzima. Leo Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtieh amewasilisha barua kwa Rais Mahmoud Abbas akiomba kujiuzulu.
Sababu alizozitaja kuhusu uamuzi wake huo ni yale anayoyashuhudia kwenye ukanda wa Gaza na maeneo yote ya ukingo wa...
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere...
Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza...
Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara.
Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
Habari ndo hiyo kwamba baadhi ya vikosi vya wanajeshi wa Taifa teule la Mungu, vitaanza kupunguzwa kutoka uwanja wa vita huko Gaza ili kulinda uchumi wa Taifa la Mungu...
Magufuli aliamini mapambano dhidi ya rushwa ni kuunda mahakama maalum. Lakini alisahau kwamba wala rushwa na watoa rushwa ni watawala na siyo wananchi. Wakati anatawala watawala waliokuwa wanapelekwa mahakama ya mafisadi ni wale waliokinzana kimtazamo na yeye na utawala wake.
Kwa bahati mbaya...
Wanaukumbi,
Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake.
DF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.