ukandamizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwananchiOG

    Viongozi Namungo fc Jitokezeni kudai hatua zaidi baada ya uonevu mliofanyiwa, Vinginevyo ukandamizaji huu utaendelea

    Baada ya kamati kuketi na kuthibitisha pasi na shaka kwamba maamuzi ya mwamuzi dhidi ya Namungo fc hayakuwa sahihi, hivyo kupelekea wao kucheza pungufu na kupoteza mchezo wao, Natarajia viongozi wa Namungo fc waandike barua na kuomba hatua zaidi zichukuliwe kwani ubovu wa maamuzi ya mwamuzi...
  2. Waufukweni

    Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

    Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham. Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa...
  3. MIXOLOGIST

    Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
  4. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Tuungeni mkono CHADEMA ili tukatae mfumo wa ukandamizaji wa kikoloni uliopo

    Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini amesema kuwa "Ikitokea Mkurugenzi hamridhiki naye mkitaka kumtoa, hamna uwezo wa kumtoa mpaka Rais...
  5. G

    Sababu ya kuisapoti Israel!! Ikiwa chini ya Palestina itageuzwa kuwa dola ya kisasi, ubaguzi na ukandamizaji wa kidini, yalishatokea Iran, Iraq, n.k

    Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
  6. Papaa Mobimba

    SI KWELI Rais Faye: Ni wakati sasa Ufaransa kuondoka na kuachana na Afrika

    Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika. Video hiyo inamuonesha Rais Faye akiimbia Ufaransa kuwa "Inakuwa wakati wa Ufaransa kuinua magoti yake kutoka shingoni mwetu na...
  7. Roving Journalist

    Dorothy Semu: Nimekivusha Chama cha ACT Wazalendo kwenye mawimbi ya ukandamizaji wa Demokrasia

    HOTUBA YA NDUGU DOROTHY-MANKA JONAS SEMU WAKATI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO Ndugu watanzania Ndugu viongozi, wanachama, wapenzi na wafuasi wa ACT Wazalendo kipekee wote mlionisindikiza kutoka kila kona kujumuika nami hapa katika tukio hili la...
  8. BARD AI

    Guinea: Polisi yakamata walioandamana kupinga Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

    Watu 12 wamekamatwa katika Maandamano hayo akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Waandishi wa Vyombo vya Habari vya Guinea (SPPG), Sekou Jamal Pendessa, kwa pamoja wameitisha Maandamano wakiitaka Serikali kuondoa vikwazo ilivyoweka dhidi ya Tovuti ya Guineematin. Katika Maandamano hayo yaliyoitishwa...
  9. Mwl.RCT

    SoC03 Kufikia Haki, Uhuru, na Amani ya Kweli: Vita Dhidi ya Ukandamizaji na Unyonyaji

    KUFIKIA HAKI, UHURU, NA AMANI YA KWELI: VITA DHIDI YA UKANDAMIZAJI NA UNYONYAJI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Haki, uhuru, na amani ya kweli ni mambo muhimu katika maisha ya kila mtu. Haki inahusu haki za msingi za binadamu, kama vile haki ya kuishi, haki ya kujieleza, na haki ya usawa...
  10. D

    Ukandamizaji wa matumizi ya vitu vya asili na wakoloni

    Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho. Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao. Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
  11. JanguKamaJangu

    Zimbabwe: Upinzani waenda Mahakamani kulalamikia ukandamizaji wa Serikali

    Citizens Coalition for Change (CCC) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Nchini Zimbabwe kimefikia uamuzi huo kikipinga uamuzi wa Polisi wa kupiga marufuku mkutano wa kisiasa uliopangwa kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 2023. Zuio hilo linahusu kufanya mkutano katika Mji wa...
  12. BARD AI

    Umoja wa Mataifa waitahadharisha Tunisia kuhusu Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

    Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais Kais Saied. Kamisheni ya Haki za Kibinadamu imesema "Msako dhidi ya Majaji, Wanasiasa, Viongozi wa...
  13. sajo

    SoC03 Tazama namna Mahakama na Serikali zinavyoshirikiana kuminya haki ya Mtumishi wa Umma kusuluhishwa migogoro ya kazi

    Tarehe 28 Machi 2022, Mahakama ya Rufani Tanzania (CAT) kupitia hukumu ya kesi ya Rufaa ya TANZANIA POSTS CORPORATION dhidi ya DOMINIC A. KALANGI (Rufaa ya Madai Na. 12 ya 2022) [2022] inapatikana hapa https://tanzlii.org/tz/judgment/court-appeal-tanzania/2022/154 iliamua kuwa Tume ya...
Back
Top Bottom