ukara

  1. Serikali itupie Jicho Kero ya usambazaji wa Umeme eneo la Ukara, Ukerewe

    Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kuna shirika la umeme (JUMEME) linahusika na huduma ya usambazaji wa umeme wa nguvu ya jua ila kero ipo kwenye bei. Bei ni Elfu mbili 2000/= kwa kila unit, na namna ya huduma ya kila mteja katika matengenezo yao, kwasababu mita ina tatizo ukimtafuta fundi...
  2. J

    Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Robert Boaz na DPP Biswalo Mganga, wamewasili kwenye Kisiwa cha Ukara, Ukerewe, kwa lengo la kufanya uchunguzi ili kuwabaini wanaotenda uhalifu uliopelekea mauaji ya watu wawili kisiwani hapo na kufanya wananchi kuishi kwa hofu. Hatua hiyo imekuja...
  3. Uchaguzi 2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

    Mtu mmoja ameuawa asubuhi hii na wengine wawili kufanikiwa kutoroka baada ya kujaribu kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisha Ukara kwa tiketi ya CHADEMA. Inadaiwa watu hao wamezingirwa baada ya mgombea huyo kupiga ukunga na ndipo walipozingirwa na kushushiwa kipigo ambapo mmoja ameuawa huku...
  4. Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKARA wilayani Ukerewe. Wakazi wa Ukerewe wakiwa mita chache kutoka kivuko kilipozama ==== Taarifa Kwa Umma Kutoka Wakala wa Ufundi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…