Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe.
Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila...
Katika mkutano wa hadhara wa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida, Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba Ruholo ameomba serikali kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge.
Mbunge huyo amesema kuwa kila walipokuja...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema tayari wakandarasi wapo site wakiendelea na ukarabati wa barabara zilizohabika na mvua pia katika Halmashauri ya Kishapu.
Mhe. katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Maimuna Ahmad Pathan amehoji juu ya mamlaka kutochukua hatua juu ya ujenzi wa Barabara ya Kibiti-Lindi akidai imejengwa katika kiwango cha chini na ilionesha kuharibika hata kabla ya Mkandarasi hajaikabidhi.
Pia soma - Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.