ukarabati wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Serikali yakamilisha ukarabati wa Barabara ya KIA

    Ukarabati wa Barabara ya KIA, Kilimanjaro, umekamilika kwa lengo la kuboresha ubora wa miundombinu na kurahisisha usafiri kuelekea Kilimanjaro International Airport. Mradi huo umeongeza usalama, kuboresha mwonekano wa barabara na kuweka mazingira bora zaidi kwa wananchi, wasafiri na wageni...
  2. JamiiForums Tanzania Jamani ukarabati wa barabara ya Dodoma to Iringa (sehemu ndogo) unaendelea nimepita Jana na basi ya Kimbinyiko acheni kupotosha watu

    Ni eneo dogo sana ambalo ukarabati unaendelea na mkandalasi yupo site nimeona kwa macho yangu mwenyewe tuache upotoshaji Juzi tar. 13/10/2026.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ulega akagua mradi wa ukarabati barabara ya Mtwara-Mingoyo wa thamani ya Shilingi Bilioni 152 na Mingoyo-Masasi Bilioni 249

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza TANROAD na TARURA kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi ili waweze kutoa ajira kwa wananchi wazawa pindi wanapotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja. Waziri Ulega ametoa agizo hilo tarehe 27 Mei 2025 alipotembelea na kukagua mradi wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, barabara za eneo lako zinazoharibika kutokana na mvua huwa zinakarabatiwa?

    Wakuu, salama? Kama tunavyojua mvua ikinyesha kidogo tu kutokana na miondombinu mibovu basi huleta maafa makubwa kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo kwenye barabara. Serikali hutoa fedha kwa madai ya kukarabati barabara hizo. Je, mdau huko ulipo barabara zilizoharibika kwa mvua mwaka jana...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Gwajima alitudanganya tufungue Akaunti NMB ataweka fedha za ukarabati wa barabara

    Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe. Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Ngara na Diwani Wamlilia Rais Samia kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge

    Katika mkutano wa hadhara wa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida, Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba Ruholo ameomba serikali kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge. Mbunge huyo amesema kuwa kila walipokuja...
  7. JamiiForums Tanzania Wakandarasi Wapo SITE Kuendelea na Ukarabati wa Barabara

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema tayari wakandarasi wapo site wakiendelea na ukarabati wa barabara zilizohabika na mvua pia katika Halmashauri ya Kishapu. Mhe. katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Maimuna: Barabara ya Kibiti-Lindi ina viraka milioni 10 kabla haijakabidhiwa

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Maimuna Ahmad Pathan amehoji juu ya mamlaka kutochukua hatua juu ya ujenzi wa Barabara ya Kibiti-Lindi akidai imejengwa katika kiwango cha chini na ilionesha kuharibika hata kabla ya Mkandarasi hajaikabidhi. Pia soma - Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…