ukaribu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  2. Hivi kuna haja yoyote ya kuwa na ukaribu na ndugu wa mke?

    Mambo vipi watu wa Mungu? Ebana nilikua nauliza,hivi kuna tija au ulazima wowote wa kuwa karibu na ndugu wa mke? Asanteni
  3. Ishi kistaarabu ukiwa ugenini,dumisha mahusiano ya undugu au ukaribu wenu

    Hello jamiiforums Hakuna ambaye hajawahi kupokea ugeni,hakuna ambaye hajawahi kuwa mgeni wa mtu,safari zipo iwe kikazi misiba ,sherehe au kuamua kutembelea ndugu zako hususani mwishoni mwa mwaka. Unaweza ukawa na shughuli fulani mkoani,ama utoke mkoani uje Jiji hili la Dar es salaam,ukawaambia...
  4. kwanini nchi zenye ukaribu na US/wazungu zinafanikiwa kiuchumi kuliko zile neutral au zenye ukaribu na Russia/China au Warabu

    Mfano Korea Kusini Taiwan Kwa East Africa Kenya. Israel middle east Rwanda (japo bado anaungaunga) Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi...
  5. Usiruhusu ukaribu uliopitiliza kati ya mwenza wako na marafiki zako (mashemeji)

    Mhadhara wa 27: Ukaribu uliopitiliza kati ya Mwenza wako na marafiki zako ni hatari sana. Ukaribu wa marafiki zako kwa Mwenza wako ukipitiliza mambo huwa hivi. 1. Leo wanaitana "shemeji" 2. Kesho wataitana "shemu" 3. Keshokutwa wataitana "meji" 4. Mtondogoo wataitana "shemu darling" 5...
  6. Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

    Habari wanaJF, Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano. Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda...
  7. Kwanini CCM na Vyama vya Upinzani havina urafiki sana na Urusi ,je tuna viongozi vibaraka wa mabeberu ?

    Urusi ndiye rafiki wa kweli wa Afrika Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu wanaponyonya Afrika Najiuliza zile nchi zilizotutawala na kutunyonya ndiyo marafiki wakubwa wa...
  8. Unaweza kuruhusu ex wako awe na mazoea ya ukaribu na mpenzi wako

    Bhana me niliachana na dada mmoja alikuwa mzinguaji sana yaani alizingua alikuwa amezoeana na masela zangu akaanza ushem shem si wakataka kummega akakubali nikamuacha. Sasa nkapata pisi moja hiyo nimeanza nayo mahusiano ex wangu akaanza kumzoea si wakawa marafiki ndo akaanza mazoea nae wakawa...
  9. Kwanini Yesu Kristo hakuoa, hakuwa na mwanafunzi wa kike, pia Yesu hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Kuna nini nyuma ya pazia ?

    Shalom, Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala urafiki na wanawake? Hili fumbo linatupatia Mtihani gani ? Tusaidiane kufikiria, karibu kwa rejea...
  10. D

    Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

    Asalaam, Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima. Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu...
  11. Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  12. TETESI ZA USAJILI: Real Madrid inamfuatilia Alexander-Arnold kwa ukaribu

    Klabu ya Real Madrid inadaiwa kuwa inamfuatilia beki wa pembeni wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25) ambaye amekuwa tegemeo katika kikosi ch Liverpool tangu Mwaka 2016. Mkataba wake unatarajiwa kumalizika Mwaka 2025 na inadaiwa mazungumzo ya kuuongeza bado hayajafanyika. Alexander-Arnold...
  13. Kumkopesha ndugu ni kuua undugu wenu

    Nimejifunza ni bora lawama kuliko fedheha. Ndugu yangu alikuwa na mahusiano mazuri sana na mimi tuliweza kuwasiliana na kutembeleana mara kwa mara, lakini mambo yalibadilika baada ya yeye kupata matatizo fulani na kuomba nimuazime kiasi fulani cha pesa (kikubwa tu), nikamsihi nami niko vibaya...
  14. TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  15. Jamii ambayo inaweza kuwa ukaribu na watu ni wachina tu

    Wachina ndio wanaweza kwenda afrika na kuishi sawa na waliopo hapo. Najaribu kutafuta historia ya hapa tanzania kipindi cha ujenzi wa reli waliishia wapi. Kwa kenya karne ya nyuma wachina waliofika hapo wameacha vizazi. Hata historia ya kilwa inadaiwa wachina walifika na kufanya biashara.
  16. Kiongozi wako wa dini hatakiwi kuunganisha ukaribu wako na MUNGU, hilo ni jukumu lako

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  17. Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

    Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti! Rafiki zangu vipii!😅 Simu tu siku hizi hautupigiani
  18. Hakuna Mwanaume anayependa Ukaribu na Jinsia ya Kike na sio Malaya

    Fanya tafiti na anza na kujitafiti wewe Mwenyewe. Iko hivi. Twende moja kwa Moja kwenye mahusiano kati ya Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye rika linalo endana, wewe mwanaume unaweza tongoza yani anafaa kwa Kilimo cha mbogamboga. Binafsi huwa siwezi kabisa kudumisha urafik na mwanamke...
  19. Ni kujipendekeza? Ni kwanini wakristo wengi wanapenda ukaribu wa Israel wakati waisrael hawautaki ukristo?

    Huwa nashangaa sana baadhi ya wakristo kulazimisha ukaribu na taifa la Israel kujidanganya kwamba dini ya kikristo inawaunganisha, Wengine wamefika mahala kuweka bendera ya taifa la Israel makanisani, kwenye vyombo vya usafiri, wallpaper za simu, n.k. Wayahudi sio wakristo na wanampinga Yesu...
  20. P

    Ummy Mwalimu unatumia ukaribu wako na Othman kuwaangamiza wenzako

    Wote tunajua nguvu aliyonayo huyu jamaa wa Tanga former DGIS katika uongozi wa Nchi kwa sasa. Hata huyu bwana aliyewekwa toka Kigoma kawekwa na hao hao wenye nguvu. Ummy Mwalimu anatumia sana uwezo wa kumfikia mwenye Mamlaka kuwaharibia wenzake anaofanya nao kazi. Alianza kwa Major General...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…