Unachohitaji kujua:
Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo ndio mambo makubwa. Mfano, mawasiliano kati yenu, kujali, zawadi za hapa na pale kama maua, pipi...