Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Najikita moja kwa moja kwenye mada husika. Naiomba serikali iboreshe mfumo wa ukataji tiketi kwenye tren yetu ya mwendokasi SGR. Nalisema hili kwa sababu nimeshuhudia zaidi ya mara moja mfumo unaonesha tiketi zimeisha (nafasi zimejaa)...
Moja kwa moja kwenye mada,
Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa changamoto ya namna ile ile.
Kwenye mfumo wa ukataji tiketi kumekuwa na changamoto ya kudumu, mfumo...
Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa
Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
Mdau wa JamiiForums.com ametoa maoni katika taarifa inayohusu ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) ambapo ameelezea changamoto ya mfumo wa ukataji tiketi.
Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90
Ken Macharia ni Mkenya anayezunguka nchi mbalimbali duniani kutalii yuko Tanzania na akaona apande train ya mwenfo kasi toka Dar hadi Morogoro Kwa mara ya kwanza. Kitu alicholalamika cha Kwanza ni ucheleweshaji kukata Tiketi pale dirishani inachukua karibu dakika 10 kukata Tiketi moja.
Pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.