Wakuu,
Kwenye video hii kuna kijana anakiri yeye na wenzake kushirikiana kuiba watoto, ambapo kwa kila mtoto wanayeiba hupewa Tsh. 5,000.
Watoto hao huuliwa na kisha miili yao kupelekwa Dar. Video haielezei zaidi kama ni mambo ya ushirikina au nini.
Pia soma: Special Thread: Taarifa za Watu...
Wakuu,
Kutokana na majibu ya uchunguzi wa kesi ya binti aliyelawitiwa na kubakwa kikatili kutolewa leo ni wazi kabsa kwamba hapa hakuna kesi wala hakuna atakaye fungwa kwa kesi hii
Wanaweza kutolewa wahuni mahabusu wakafunikwa na vitenge vichwani tukaambiwa ndo hawa tumewakamata
Inaumiza sana...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema tayari Jeshi hilo linamshikilia Mtu...
Tathmini ya utekelezaji wa mpango kazi wa kwanza wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto inaonyesha jumla ya Sh30.5 bilioni zimetumika katika utekelezaji wa afua za kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto.
2. Hizi fedha zilitumika kufanya kazi zipi na wapi?
3. Hii wizara...
Habari wapendwa,
Hebu tutazame kidogo hili swala la kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto na wanawake,
Je, ni nani muhanga hasa wa jambo hili?
Maana katika hali ya kawaida inaonekana wanawake na watoto ni waathirika wakubwa katika hili jambo. Sijui wewe unalionaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.