Habari wapendwa,
Hebu tutazame kidogo hili swala la kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto na wanawake,
Je, ni nani muhanga hasa wa jambo hili?
Maana katika hali ya kawaida inaonekana wanawake na watoto ni waathirika wakubwa katika hili jambo. Sijui wewe unalionaje...