ukatili dhidi ya watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siwezi kusahau haya manyanyaso ya mama wa kambo

    Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi. Huyu mwanamke wa baba alikuwa mkarimu, mchapakazi, msafi, mchangamfu na ana stori nyingi sana, kabila...
  2. Mwalimu wa Madrasa apandishwa Kizimbani kwa tuhuma za kuwachapa fimbo (Ukatili) wanafunzi wa madrasa

    Mwalimu wa Madrasa, Musa Bashiru Musa (24) ambaye kipande cha picha jongefu (video) kilisambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha akiwapiga fimbo za mikononi wanafunzi wake, amepandishwa kizimbani kujibu tuhuma zake. Musa ambaye ni mkazi wa Mbagala Kiburugwa, amefikishwa katika Mahakama...
  3. Mwanza: Afungwa maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 8

    Samwel Anthony (34) mkazi wa kijiji cha Shilima wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 8. Hukumu hiyo imetolewa jana tarehe 20 Novemba 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya wilaya ya Kwimba, Ndeko Dastan Ndeko ambaye ndio Hakimu...
  4. J

    Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

    Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024. Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
  5. Katibu Mkuu BAKWATA Nuhu Mruma: Tumuunge mkono Rais Samia katika vita dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia

    Akihitimisha hotuba yake muda huu katika mashindano ya dunia ya kuhifadhi Quran kwa wanawake. Katibu Mkuu wetu wa BAKWATA ametuasa dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia pamoja na kudumisha AMANI na UTULIVU. Soma Pia: Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi...
  6. Mwaka 2023 kulikuwa na Makosa 37,448 ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania, 15,301 yalikuwa kwa Watoto

    Soma Pia: Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto? Takwimu za Hall ya Uhalifu Januari - Desemba 2023. Makosa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto Makosa haya ni yale yote yanayohusu ukatili na Unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto. Makosa haya yanatendeka zaidi katika jamii...
  7. Kyela Mbeya: Mwalimu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 faini laki Tano na fimbo 4 Kwa kumbaka mwanafunzi

    KYELA. Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano pamoja na kuchapwa fimbo 4 baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa binti mwenye umri wa miaka 13...
  8. Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

    Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo...
  9. Tukemee vimelea vya ukatili, kabla hatujaingia katika majuto

    TUNALOJUKUMU LA KUDHIBITI HALI YA UKATILI NA UNYAMA UNAOJENGEKA KATIKA WENZETU Na Comrade Ally Maftah Nilipata kusikia tukio la dada aliyefanyiwa ukatili wa kijinsia nikajidhibiti sana nisitazame tukio hilo, ila kwa bahati mbaya sana nimeona kipande kidogo cha tukio lile. Tukio...
  10. Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?

    Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo: Sababu za Kijamii: * Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii zinaamini kuwa wanaume wana haki ya kuwadhibiti wanawake na watoto, na hii inaweza kusababisha ukatili wa...
  11. Manka mbaroni kwa kumchoma moto msaidizi wake wa ndani kwa mafuta

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Christina Shiriri (43) kwa jina maarufu Manka, mfanyabiashara na mkazi wa Usagara wilaya ya Misungwi kwa kosa la kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani Grace Joseph (17), mkazi wa Kijiji cha Nyalwigo wilaya ya Misungwi kwa kummwagia mafuta ya taa...
  12. Marekani: Ukilawiti watoto adhabu yake ni kuhasiwa. Adhabu hii inafaa kwa Tanzania

    Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana? Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya kunyongwa lakini Kwa uzoefu wa Tanzania Wakuu huwa hawatekelezi hizo adhabu,kumbe badala yake tuanze...
  13. Morogoro: Watuhumiwa Watano wa makosa ya mauaji Wilayani Kilosa wakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
  14. Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba

    Mtoto mmoja wa kiume ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mkapa iliyopo Jijini Mbeya amefanyiwa ukatili wa kulawitiwa na mwanafunzi mwenzie wa darasa la saba shule hapo aliyejulikana kwa jina moja la Arafat. Mtoa habari hizi amefanikiwa kumuhoji maswali mwanafunzi huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…