Mahakama ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro imewapandisha kizimbani na kuwasomea shtaka watu watatu akiwemo Jovina Steven Mwekya (33), mkazi wa Mang'ula ambaye ndiye mke wa marehemu Mwalimu Tungaraza, Musa Amani Mwakyoma (28), mkazi wa Mang'ula, na Tadei Sales Mwinuka (40), mkazi wa...